Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 542
- 597
Vyombo vya utekelezaji kama vingekuwa vinafanya kazi yake tusingeona madudu yote hayo, kwa kifupi kiongozi anapojitolea kupambania haki za wanyonge tusimvunje moyo, kaamua mwenyewe hakulazimishwa na raisi, wewe huoni wangapi wanapata haki zao kutokana na Makonda huyu huyu!!Wewe ni mmoja ya watanzania wajinga kabisa. Hujui abc za uongozi na wala hujui ni kwa nini serikali ina mihimili na vyombo mbali mbali vya utekelezaji. Waziri utahuhumia mtu mmoja mmoja kwenye nchi yenye watu milioni 60 utamaliza lini wakati migogoro inazaliwa kila siku.?