lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,457
Si muda mrefu tokea tufunge chuo kwa kumaliza semester ya kwanza,natoka zangu hostel narejea kitaa kupunguza uchovu wa kudesa.
Ile kufika home kuna mpangaji mpya kahamia,kumcheki mzuri na uzuri depend on ur own perception.Jioni nimetoka zangu maskani nimekaa home kibarazani,yule demu akapita naona kama anatingisha tako flan hivi,kwel Mungu kamjalia Mashallah.
Akageuka nyuma akakutana na mimi namkodolea macho,nikajisemea moyoni kumbe alikuwa anatafuta attention!
Mdada huyo karudi kutoka dukani akanikuta pale pale,akaniongelesha...
Yeye; Mbona umekaa nje peke yako?
Mimi: Sio mbaya kama tutakuja kukaaa wote unipe kampani,anarushà macho kutazama kama kuna mtu karibu,
Yeye; mmhhhh,mimi sema naogopa,
Mim: Unaogopa nn tena??, si watu jamani!!Kuna kitu alitaka kuniambia,kuna mpangaji akatokea,yule dada/dem huyo akajiondokea zake
mim nikaapa lazima nchukue tarakimu zake nifanye yangu.
Kesho yake titfotat nakutana nae anatoka kuoga,nikaomba # àkanipa bt yà voda,nikaifikiria kumpigia nikasema anyway ntamtext,maana voda yenyewe niliivunja hostel walivyoleta masuala yao ya mb8.
Usiku wakati wa kulala nikamtixt,akarespond fresh.
Asubuhi kama kawa goodmorning za kutosha;
Mim: Za asubuhi uko poa?... Hajanijib,nikasema khaaaaaa!!!!
Mim: Vipi umelala?.. ikapita kimya fulani hivi akajibu
Yeye; nimelàla sijikii poa!
Mim: nini tatzo tena?
Yeye: nàsikia kuumwa,kichwa na mwili mzima
Mim:umekunywa dawa???
Yeye: bado
Mim: pole sana jirani
Yeye: asante
Mim: naweza kuja kukuona???
Yeye: ntakwambia nikiamka
Mim: bas sawa
Ikapita kimya kama saa moja na nusu,nikaona text inaingia,kucheki jina jirani kama nilivyomsave nilivyochukua # zake
Yeye: uko wap?
Mim: niko ndani
Nikawa nawaza akiniambie niend na nikimkuta kakaa kihasarahasara namkazia mpaka anipe mzigo
Yeye: kuna kitu nataka uje unirekebishie
Mim: poa
Kuingia ndani nakuta mdada kajiachia kwenye sofa kapiga kanga nyepesi huku katupia sidiria,titi naliona lile limedisa
nikawa nawaza,jamaa yako vipi nikamwambie mchizi wako yuko wap?
Yeye; Anakaa sana,huamini ngoja nimpigie simu uone ,jàmaa akajibu now ndo najiandaa kuvuka boda
Yeye: akaniambia umesikia?
Mimi: kidogo ndio umenitoa uoga
Tukaendelea kucheki muvi pale nikaona kikanga kinapeperushwa na upepo paja jeupeeeeeeee!!!abdala kichwa wazi akasimama.
Nilikuwa nachat simu nikaiweka pembeni,nikamshika mkono nikaanza kuchezea kucha zake ndefu mara romance,piga utundu mwingine mpaka kwa bibi nikajilia vyangu.
Baadae xx amri ya sita ishàvunjwa ,eti unajua mimi mke wa mtu?
Mimi: nikamwambia najua
Yeye: je bwana wañgu akijua,
Mim: hawez kujua labda uwe umetaka kumwambia,kuz mimi,sikupigii simu mpaka unipigie,sikutext mpaka unitext,na txt zenyewe unafuta,xx hapo atajuaje?
Yeye: ok
XX tatzo now ananionea wivu hataree juzi kati demu wangu katoka Mzumbe chuo karudi likizo nimemtia home yule demu kaniona ananinunià kishenzi,et oohhh unanidharau unaniletea wanachuo wako.
Eti nimfanye nini huyu mdada wakati mimi sikupanga kuwa nae na ukizingatia yuko na mchizi wake?
Nimeapa,sipige tena wake za watu kuz ving'ang'anizi kama ruba!!!!
Nawasilisha.
N:B Stori ya kufikirika haina uhusiano na mwandishi!