Sikusema nae...

sikutaka kusema nae as niliona yaweza kujaza watu na ikawa aibu kwangu mimi na yeye hivo nilitumia ustaarabu tu kutosema nae pia mi si mtu wa mazogo.
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wana jf,wengi mmenishauri nichukue uamuzi mgumu wa kuachana nae na nitafute mwingine;je hao wengine hawawez kua kama huyo?
 


Ishu ni kuwa umeshuhudia kwa macho yako mpenzio akikusaliti, sasa swali la kujiuliza kabla ya kuamua kufunga naye ndoa ni hili: Uko tayari kuendelea kuumizwa kwa kusalitiwa na mpenzi hata baada ya kufunga ndoa? Kama jibu ni NO fanya maamuzi magumu mapema, na kama jibu ni YES, at your own risk, go ahead!
 



Wewe ulitaka kufanya nini zaidi ya kuachana naye tu???????
 
Kaka,,ukicheka na mkeo hutazaa nae!!
Mwambie ukweli wako,ukisema usiachane nae kwa sababu hao wengine watakuwa kama yeye basi ATAJUA UNAMPENDA na kama akijua hilo,,jiandae kuumia zaidi maana kupitia udhaifu huu,atafanya atakalo kwani unampenda.
Jingine,jiandae kuachwa ukiwa wa kwanza ili maumivu yaongezeke.
Wasaidie wengine kuhudumia,kutunza na kung'arisha wakija wale ili ujifunze kuwa Lisemwalo lipo kama halipo liko njiani laja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…