Ukweli mchungu.Umezeeka ndugu yangu
Hao mabwashee labda pale Wami River uondoe lile daraja.Ipo siku na wale wa Kilimanjaro watakata safari.
Licha ya yote uliyosema, bado mleta uzi ana hoja sikukuu na sherehe zimekosa hamasa mfano rahisi kabisa ni pale JPM alipofuta hafla za kusheherekea uhuru na kuelekeza fedha zitumike kuleta maendeleo.Wewe hutumii akili kufikiri
Kuna maendeleo makubwa ya teknolojia hasa simu na computer
Kila kitu utakacho unakipata online
Sasa miaka hiyo watu wangapi Tanzania walikuwa na Television au Computer
Wewe umezaliwa wakati wa ujima enzi za maisha ya giza
Unataka watu watembee tembee hovyo barabarani kisa x mass
Wewe uliishi maisha ya disko vumbi tena sio disko bali ngoma za kienyeji
Jaribu kufikiri nje ya box mkuu
Unataka turudi miaka ya 80 watu shule hawavai viatu na anayevaa watu wanamshangaa
Ukiona sikukuu imepoteza thamani jua tayari umekuwa mtu mzima.Nianze kwa kuaema sipingi imani za dini za watu wala chama cha siasa. Ninaandika kile ambacho nimekiona kwenye maisha toka nikiwa mdogo.
Nikiwa mdogo, miaka ya mwisho ya 70 hadi miaka ya 80, nilizoeakuona mikusanyiko ya watu kwa kigezo cha sikukuu au sherehe fulani za kisiasa au kidini.
Kwa mfano, sikukuu za kidini kama mwaka mpya, pasaka, watakatifu wote na krismas, na zile za kisiasa kama sabasaba, Muungano, Uhuru nk zilipewa uzito na msukumo mkubwa na viongozi husika.
Sijazungumzia sikukuu za kiislamu kwa kuwa ninaona kama bado wana utamaduni wa kukusanyika kwenye matukio yao.
Lakini kadri ninavyoishi ninaona upungufu mkubwa sana wa kukusanyika kwa watu katika matukio haya.
Siku hizi hata kuja kwa kiongozi wa chama au serikali mahali fulani, viongozi wenyeji wanatumia nguvu kubwa sana kuwalazimisha watu waende kwenye tukio ikiwemo kufunga milango ya biashara na kuahirisha matukio ya kijamii ili tu watu wote waelekee kumpokea kiongozi huyo.
Kilichonifanya niandike ni hali ya leo. Niko zangu kijijini huku. Kumedorora hatari. Hakuna amsha amsha kama ni xmas. Watu wengi wako mashambani kama siku tu ya kazi ya kawaida.
Yale mambo ya kuvaa nguo mpya hayaonekana sana. Na msukumo wa kuhudhuria ibada umepungua sana nikilinganisha na zamani.
Hii ni ishara ya nini? Watu wamebadili mtazamo? Hakuna umuhimu tena wa kuheshima sikukuu hizi kama zamani? Hakuna umuhimu wa kuwapokea na kuwasililiza viongozi kama zamani?
Inakuwaje siku hizi hata Rais akienda mahali fulani, viongozi wa sehemu husika hukodi hata magari kusomba watu wakusanyike kumsikiliza Rais?
Mbunge akipanga ziara kwenye jimbo lake, anaweza akutane na wazee wachache na viongozi wa chama na serikali amabao nao huenda kwa kuhofia kumulikwa.
Je kama hali itaendelea kuwa hivi, huko tuendako nini kitatokea?
Ninawatakia Xmas njema.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Moja ya 90 nilikua naona watu wanavyokuja nyumbani mamia kwa mamia , miaka ya 2000 kuja huku tulipo inapungua sana, hususani mwaka huu wa 2023 upungufu ni mkubwa na mno, wengi tupo nao hapa mjini na hata ile magari kujaa na kukosa nafasi mwaka huu hamna, sio muda kule watakata .Hao mabwashee labda pale Wami River uondoe lile daraja.
Jamaa wana utamaduni wao wa kipekee sana
Maarifa yameongezeka siri zinafichuka Kila siku!Nianze kwa kuaema sipingi imani za dini za watu wala chama cha siasa. Ninaandika kile ambacho nimekiona kwenye maisha toka nikiwa mdogo.
Nikiwa mdogo, miaka ya mwisho ya 70 hadi miaka ya 80, nilizoeakuona mikusanyiko ya watu kwa kigezo cha sikukuu au sherehe fulani za kisiasa au kidini.
Kwa mfano, sikukuu za kidini kama mwaka mpya, pasaka, watakatifu wote na krismas, na zile za kisiasa kama sabasaba, Muungano, Uhuru nk zilipewa uzito na msukumo mkubwa na viongozi husika.
Sijazungumzia sikukuu za kiislamu kwa kuwa ninaona kama bado wana utamaduni wa kukusanyika kwenye matukio yao.
Lakini kadri ninavyoishi ninaona upungufu mkubwa sana wa kukusanyika kwa watu katika matukio haya.
Siku hizi hata kuja kwa kiongozi wa chama au serikali mahali fulani, viongozi wenyeji wanatumia nguvu kubwa sana kuwalazimisha watu waende kwenye tukio ikiwemo kufunga milango ya biashara na kuahirisha matukio ya kijamii ili tu watu wote waelekee kumpokea kiongozi huyo.
Kilichonifanya niandike ni hali ya leo. Niko zangu kijijini huku. Kumedorora hatari. Hakuna amsha amsha kama ni xmas. Watu wengi wako mashambani kama siku tu ya kazi ya kawaida.
Yale mambo ya kuvaa nguo mpya hayaonekana sana. Na msukumo wa kuhudhuria ibada umepungua sana nikilinganisha na zamani.
Hii ni ishara ya nini? Watu wamebadili mtazamo? Hakuna umuhimu tena wa kuheshima sikukuu hizi kama zamani? Hakuna umuhimu wa kuwapokea na kuwasililiza viongozi kama zamani?
Inakuwaje siku hizi hata Rais akienda mahali fulani, viongozi wa sehemu husika hukodi hata magari kusomba watu wakusanyike kumsikiliza Rais?
Mbunge akipanga ziara kwenye jimbo lake, anaweza akutane na wazee wachache na viongozi wa chama na serikali amabao nao huenda kwa kuhofia kumulikwa.
Je kama hali itaendelea kuwa hivi, huko tuendako nini kitatokea?
Ninawatakia Xmas njema.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
AeUkweli mchungu.
;#;Hao mabwashee labda pale Wami River uondoe lile daraja.
Jamaa wana utamaduni wao wa kipekee sana
Uchumi Baba Uchumi watu hawana ndululu wamechalala kila angle kupigana majungu kwenye vijiwe vya umbea tu ndio kilichobakia Pesa hakunaHii ni ishara ya nini? Watu wamebadili mtazamo?
Papa noma Ila sio kosa lake amezaliwa December 17, 1936, akiangalia Argentina wanaume wanaolewa akiangalia huko kwenye wanasema wao ni nchi ya ahadi waisrael nao wanaume wanaolewa akaona ngoja atembee na huo upepo kumbe akasahau Africa alipokuja aliishia Congo DRC tuLeo nani atamheshim padri,askofu kadinali na papa!!?
Wenyewe angalau uchumi uko poaIpo siku na wale wa Kilimanjaro watakata safari.
Kwa sababu umri wako umesogea tu. Kwa watoto wadogo sikukuu bado zipo vile vileNimekaa nikaangalia sikukuu za siku hizi zimepungua mvuto zamani kipindi Kam hichi ilikuwa hela hela mtaani jingle bell kila nyumba au ni sehemu Mimi ninapokaa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app