Sikukuu ya wajinga.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Jamani hivi humu jf kuna wangapi huwa wanasherehekea hiyo sikukuu? Na vp maandalizi yake watu huwa wanaandaa menu kama kawa?siku nyingi naisikia hii siku kuu ila wahusika sijawahi kuwaona.
 
Hivi ni sikukuu ya wajinga au siku ya wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…