Nchini Uganda Leo ni sikukuu ya kitaifa kuwakumbuka Watakatifu Mashahidi wa Uganda(Uganda Martyrs). Hichi kilikua ni kikundi cha Wakristo-Waanglikana wapatao 23 na Wakatoliki 22 ambao mwanzoni kabla ya kuongoka walikua watumishi wa ufalme wa Buganda-Kabaka Mwanga 11.Hawa walikubali kufa kwa ajili ya kutetea kile wanachokiamini
Walitangazwa watakatifu mwaka 1964 na Papa Paul VI.
Atukuzwe Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.