Sikukuu imekaribia, tujipange

Sikukuu imekaribia, tujipange

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Heri iwe kwenu na kwangu pia.

Nasikitishwa na kuwaonea huruma watu wengi, maisha ni kujifunza kila siku kutokana na changamoto zake. Tunashindwa kuelewa na kujifunza,hivi hamuwezi kununua mahitaji mapema?

Ni siku chache mno zimebaki kufikia siku ya sikukuu watu wanauziwa vitu kwa bei ghali ambayo haina uhalisia na thamani yenyewe.

Watu kibao hasa hapa KARIAKOO jijini Dar es Salaam ni Hatari watu wanaibiwa, huu ni uzembe.

Ndugntujirekebisheni tuwe tunajipanga.
 
Ndio tulivyo, matukio yasiyo na maana kubwa hupandisha bei za vitu. Hata watoto wakianza kwenda shule mashati hupanda bei...
 
Heri iwe kwenu na kwangu pia.

Nasikitishwa na kuwaonea huruma watu wengi, maisha ni kujifunza kila siku kutokana na changamoto zake. Tunashindwa kuelewa na kujifunza,hivi hamuwezi kununua mahitaji mapema?

Ni siku chache mno zimebaki kufikia siku ya sikukuu watu wanauziwa vitu kwa bei ghali ambayo haina uhalisia na thamani yenyewe.

Watu kibao hasa hapa KARIAKOO jijini Dar es Salaam ni Hatari watu wanaibiwa, huu ni uzembe.

Ndugntujirekebisheni tuwe tunajipanga.
Siku ukija kuwa mfanyabiashara utajutia sana huu uzi wako hapa.....hizo ndo nyakati zina itwa high season na huwa zinasubiriwa kwa hamu sana..
 
manuu tupendane tusiburuzane ujue Wewe unapata pesa ila kumbuka ndugu zako wengine wanalanguliwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom