mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Majira ya saa 3 na nusu alifika bint mmoja katika kijiwe cha vijana (maskani) kwa lengo la kumfanyishia kijana mtanashati 1 anaekaa katika maskani hio.
"Haiwezekani anitelekeze na mimba nimelea mimba hadi nimejifungua cha zaidi mimi nimesharizia lakini kwa nini aitelekeze na damu yake lazima leo nimuuwe"
Binti huyo alikua na kisu kidogo cha kuchania chane akijaribu kupapatuana na sharobaro huyo kwa kutaka kuzuru jambo jema kwa vile vijana maskani wanamfahamu wakajaribu kumzuia ingawa walitolewa jasho na msichana huyo alionekana kupania kutekelaeza azma yake.
"Mi sioni ajabu wako watu wengi wanazaa nnje ya ndoa ameshaleta kesi hadi kwa wazazi wangu wakamuambia mlete huyo mtoto sisi tutamleya yeye hana makosa makosa munayo nyinyi mlomleta duniani bila ya haki yeye hataki ananifuatilia maskani ananitafutia kesi muacheni nimfunze adabu kama hakufundwa kwao"
Huo ni utetezi wa mwanaume Vijana kwa wazee wa JF ni nani mwenye hatia kwa kesi kama hii?
Hebu wekeni weka maoni kwa mtazamo wako.