Huyu anschotafutwa kuchunwa hakuna kingine.
Yaani umepotezewa miez miwili bila kutafutwa then unatakaje? Eti uachane nae vzr ili iweje? Aliyekwambua kuna kuachana vzr nani?
Mtafute ila ucje unalia hapa
Jamaa anajitoa mhanga kabisa,apa nahis uzoba unahucka m nackiaga tu mtu amfuma live mpenz wke akigegedwa afu kesho yake et wako pamoja hadharan mabusu na i love u kibaooo,nahis mioyo ya chuma n kwel ipo
Nilikuwa na uhusiano na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 lakini niliachana nae baada ya kugundua ananisaliti baada ya yeye kukiri kunisaliti kiukweli niliumia sana ila niliamua kumwacha maana alionyesha kuendelea na jamaa ingawa baada ya miezi 2 waliachana.Katika uhusiano wetu nilishamvisha pete ya uchumba na kwao walikuwa wananifahamu,kibaya wakati tunaachana nilimtumia meseji nikimwambia yeye ni malaya na hii ilitokana na hasira za kuumizwa na kiukweli najifahamu sio mtu wa matusi.Alichofanya ni kumwonyesha mama yake na ndugu zake kuwa ameachana na mimi kutokana na mimi kumtukana kila siku na kwao nikaonekana sio mstarabu,mama yake alinilaumu na hakuamini lolote nililomwambia.Tangu siku hiyo sikumtafuta na yeye hajanitafuta na sasa ni miezi 3 imepita hatujawasiliana na mimi sioni kama ni ustarabu lakini sitaki kumtafuta maana ataona najishusha sana kwake ila kibaya namkumbuka sana,naombeni ushauri wenu maana nishamzoea sana

wewe hujui kupenda eeeh,unamkumbuka sana sababu ya hali ya hewa amah
ila kuna watu mnajua kupenda duniani
Njoo nikupe mdogowangu
Unatamani umrudie ili umuache vizuri au?
wewe hujui kupenda eeeh,
Acha swagger za ki-looser mtoto wa kiume haendeshwi na hisia...hizo waachie akina dada..mwanaume tumia logic...hajakutafuta maana hana time cha msingi tafuta manzi mwingine...utamsahau tu huyo...kwani shing ngapi?? Banah...Over..!!