Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 637
- 1,486
Jidanganye na umaskini wako..siku zote maskin ni chakula Cha tajiri toka Dunia inaanzq Hadi itakapoisha...Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri.
Iangalie hii ktk engo zote.
Umebadili Jina ila Uzi unakujua.Je hii ni Fasihi ? If not don't fucky ur hope
Kwamba wahuni mko nae sambambaUmebadili Jina ila Uzi unakujua.
Taratibu wanakuja kwa mwendo wa mamba kurudi mtoni
Then uta question ur Sanity
ππHakuna kitu kama hicho.
Uliona mbali Sana nduguHuyu jamaa anamaanisha mapinduzi nafikiri.
Wandewa watamla Dully.Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri.
Iangalie hii ktk engo zote.
Watakuja kukusalimia TajiriππJidanganye na umaskini wako..siku zote maskin ni chakula Cha tajiri toka Dunia inaanzq Hadi itakapoisha...
Pambana utoke kwenye ilo shimo!!ππ
....Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri.
Iangalie hii ktk engo zote.
Tajiri wa maneno kaa swJidanganye na umaskini wako..siku zote maskin ni chakula Cha tajiri toka Dunia inaanzq Hadi itakapoisha...
Pambana utoke kwenye ilo shimo!!ππ
Umeshikilia mazoea bado ?Sio kwa Tanzania hii
Katani hii Kaka.Ndio thread iyo
Kashapata IntroWatu wakianza kuliwa utaelewa tu..π
Ulishapata majibu ?Sijakuelewa una maana gani masikini kuumla tajri?