papaa musofe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 842
- 1,475
Hajazaa na zari,angezaa naye ningemtabiria,pun..nga weweKwanini usimtabirie babaako?
Hizo familia anazilisha kwa kupenda,sasa hizi mbili atazilisha kwa vipigo vya kisheria,atapondwa pondwa mpaka alainikeAcha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,
DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
Huwa simkubali kabisa Diamond lakini sijawahi kumuombea uchawi kama huu.Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage
Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa
Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika
Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili
Diamond utapiga show mpaka manzese,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi
Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage
Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa
Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika
Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili
Diamond utapiga show mpaka manzese,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi
Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Uliwahi kula utumbo wa kuku na vichwa? Maana akili zako zinafanana na watu waliokula hiyo kituWewe utakuwa mwanaume wa dar, asubihi yote hii unawaza mwenzio ashuke,
Mange kashawafanya manyumbu hadi watoto wa kiume. ,
U-pu..nga unakusumbuaHuwa simkubali kabisa Diamond lakini sijawahi kumuombea uchawi kama huu.
Wewe kama ni jinsia ya kiume ukapimwe upya homoni zako unaweza kuruhusiwa kuingia vyoo vya wanawake.
Pambana na hali yako.
NdioMama yako na yeye aligawana na mzee wako?
Nimekula supu ya kuku na chapati mkuuDuu!!....hivi mkuu ushakunywa chai?
Mapunga ni wale ambao asubuhi hii hata mswaki hawajapiga wameshavaaa dela kupepeta umbea wakati maisha yao tu ni hohehae au ukute unaishi kwa shemeji pumbavu kabisa.U-pu..nga unakusumbua