Siku za usafi kitaifa ni zipi?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
7,827
7,774
Kama taifa tunapaswa kuwa na siku za usafi za kitaifa ambazo wananchi bila kujali itikadi tutafanya usafi maeneo yote ya wazi na sehemu za makazi/biashara. Tukumbushane tulikubaliana siku za usafi ziwe lini Kitaifa?
 
Back
Top Bottom