Siku za mwizi 20 check hii

Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:

ha ha ha! Kabla hujasema mwenzio kashakuwahi. Mmh, yaani hata sipati picha.
 
Hadithi hadithi...hadithi njoo uongo njoo na utamu kolea.... Asante kwa hadithi yako nzuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom