Siku za mwisho

kwan Mungu kapotea?!
Afu hzo cku za mwsho ni lin hasa be objective not subjective!
Tangu nazaliwa naskia tu cku za mwsho cku za mwsho HAZITIMII TU?TWACHE KUTISHANA JAMANI!
Twendlee kujenga taifa letu''''
 
Na wale waliosema Yesu anarudi imekuaje?? Anawakumbuka wairzaeli sana hawezi kuja mpaka hicho kizazi kitoweke na kwa ss walivyo na teklonojia cjui wakimbamba watampa adhabu ipi!!!
 
JamanEee sii anakumbusha kila chenye Mwanzo kina Mwisho.... !!
(mbegu - Kichanga - katoto - kijana - kimtu - kimtu mzima - kibabu kiajuza -kimwisho)
 
Au msaidizi wa nabii rule aliyemtoa mchai nae ya Kanisa baada ya kurta mapepo ...
 
kwan Mungu kapotea?!
Afu hzo cku za mwsho ni lin hasa be objective not subjective!
Tangu nazaliwa naskia tu cku za mwsho cku za mwsho HAZITIMII TU?TWACHE KUTISHANA JAMANI!
Twendlee kujenga taifa letu''''
Kwa MUNGU miaka 1000 ni sawa na siku 1.
 
Jamani watanzania ebu kila mtu atafute kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wake kwani hizi ni nyakati za mwisho, na ni bora kila mtu amtafute Mungu wake ili aweze kuishi kwa furaha.

Siku za mwisho!
-Una vigezo gani kuziita siku za mwisho?
-Tangu siku hizoo tunasikia na kusoma siku za mwisho, bado hazijafika ila watu wanakufa tu na maisha yanaendelea...
-Toa sababu kwanza....kwa nini wewe unaziita siku za mwisho, then utaata comments.
 
Ni vyema kukumbusha ingawa binadamu wengi wanadhani wanaishi kwa ujanja wao. Na wanadhani ni wajanja kuzidi hata aliyewaleta duniani. Ili ujue thamani ya maisha yako tembelea mahospitalini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…