karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 423
Binafc nakumbuka wakati na soma shule fulan maeneo ya Tabora kulikua na msichana mmoja jina kapuni anaweza kua yumo humu jf u kweli nilikua nampenda saanà na zaidi ya yoote nilishindwa kabisaaa kumuambia ukweli na kubaki naumia sana moyoni.
nikaona isiwe tabu nyumban kwetu ni njia ya kwenda shule nikawa na kazi ya kumuwinda cz sikua nasoma nae darasa moja ikifika saa nne wakat wa chai namsubir nikimuona anakuja nasema leo lazima nimwambie ukweli natoka ndani ili nikutane nae nimwambie u kweli thubutuu nikimkaribia ujasir unanitoka na nashindwa kabisaaa kumwambia ukweli na na napita hata bila kumsalimia nikifika mbele najilaum saanà hivi kitu gani kinanishinda mimi.
ukweli niliteseka saana na hiyo haLi nikawa mtumwa mwisho wa siku nikashauriana na washikaji wakanishaur nimwandikie barua nikaona poa mpango umekaa poa mwanaume nikajipinda chini ya jopo la wadau nikaandika barua kali enzi hizo maneno matam yalikua silali nikilala nakuota wewe nikinywa maji nakuona kwenye glas nakupenda kuliko sukari guru na mengine mengi nimeyasahau bac bwanaa kama kawaida kumpa hiyo barua siku yenyewe ikawa shida tena yani ilikua ni mwendo wa kupishana tu kama wiki hivi nashindwa kumpa siku moja nikajikaza saaana nikamsimamisha jasho linanitoka mithili ya mwana riadha wa mbio ndefu nikavuta pumzi moja ndeeefu na kujitutumua nikamwambia nabarua yako
akaniangalia kwa jicho la ukakasi na udadisi imetoka wapi dah ukweli sikutarajia hilo swali kabla ya kujibu nikapumua kama mfungwa a lie toka rumande kwa msamaha wa rais duh nikajitutumua kujibu we chukua tu utaoona kunajina
wakati huo tulikua tunaandika na jina kabisa kutoka kwa fulan bin flan ilikua hataree sana ukweli niliona kama nimesimama mwaka mzima na yule mtoto naweza sema alikua mkali kuliko wadem wa shule nzima na wengi walikua wanamgwaya ama kumuogopa kutokana na uzur wake na kipato cha familia yao kilikua kikubwa na wengi pia walikua wametolewa nje kinoma noma dah
kumbuka wakat huo na washikaji wanapiga chabo kama wanne hivi kujua ni kitu gani kinaendelea na ilikua ni lazima nitimize ahadi cz sikutaka kuwaangusha wadau dah ilikua balaa sana bac bwanaa kipindi hicho ndio ilikua ipo ile habar ya kushushua ukimtongoza dem anawaita na wenzake wanakuja na maandamano kuja kukushushua
nikajua leo ndio siku yangu sasa basi bwanaa kwa upole yule mtoto akatoa daftar akaichukua ile barua na kuiweka Kati Kati ya daftar kumbuka kwamba enzi hizo nilinunua bahasha na kuiweka ndani nikaiba na yale mafuta ya yuu mkebe kama wa yai hivi nikaipaka pembeni ilikua raha sana barua ilikua inanukia saana bac bwanaa mtoto akaondoka na barua nikapiga ngumi hewan
nikarudi kwa washikaji furaha tele na kujiona hakuna kidume kama mimi lakin kumbuka na mimi pia nilikua star cz nilikua mhambuliji mmoja tegemeo wa shule na madem wengi sana walikua wanashoboka na mimi pia nilikua na sex body wao ndio walikua wananiambia na jamal wa sura japo sio mweupe ila kwa yule dem hakuwah kunishobokea hata mara moja cjui kwa kua nae alikua star
bac bwanaa ikapita siku ya Kwanza sikulala kwa mawazo ya furaha na mchanganyiko wa mawazo ya kushushuliwa bac bwanaa nakumbuka hiyo ilikua jpli kuamkia jtatu kulilikua na mpira kama kawaida yangu kuangalia kulia kushoto
nikamuona mtoto nikasema wakati wangu wa kuonyesha mi nani nilipiga mpira mkubwa saana nikapiga harttreek yangu saafi dem siku hiyo kama zile za za man nikasikia msiniumizieee yuko na madem wenzie Acha tu mzuka ulikua wa aina yake bac bwanaa tukashinda tatu goli zote nimepiga mimi mguuni kwangu
bac bwanaa baada ya mech nikafanya kila mbinu kuonana na mrembo kuomba jibu langu akaniambia bado ananifikiria dah bac bwanaa jtatu nikatimba schooll kama walivyo ma star wengine na wapambe wangu kama wa nne hivi
enzi hizo tulikua tunanyoa panki mfano wa kiduku kwa sasa bac bwna kama kawaida nilikua napenda kubana kwenye bend ya shule japo nilikua sina utaalam wa kupiga chombo chochote hapo ilikua ni sehem ya kujifichia mfano wameagiza sijui mifagio mara jembe na kukwepa kukaguliwa na nk
bac bwanaa tukaingia darasan kama kawaida hua na kawaida ya kuanzia tulipo ishia na mwalim kwa sababu sikua na kawaida ya kudurusu masomo na wala sikumbuki kama nilisha fanya hivyo bac bwanaa kama kawaida ya shule wa babe
na watukutu hua tunakaa nyuma kabisa kwa sababu ya kukwepa maswali ya papo kwa papo hahaha Acha tu Kwanzaa nikikimbuka mimi table ya tisa ilinitesa sana mpka tukachana daftar kwa nyuma na kubandika table kwenye dawati kwa msaada zaid wakati huo huo tulisha chana wavu kwa nyuma dirishani endapo itatokea dharula yyt tunapitia dirishan na kutokomea kusiko julikana
bac bwanaa tuendelee na kastory akaingia mwalim tunaandika kama kawaida wakat wa kukusanya tukakusanya dah kwenye kitengo cha kukusanya nilikua nahakikisha nisione daftar jipya hilo langu usiniulize nilikua naibaje
bac bwanaa ikagongwa kengele ya sa nne tukaenda kunywa chai na kurudi ilikua ni kawaida kuwaiga walim walivyo kuongea mavazi yao na mengi tu ya kuuzi bac bwanaa nakumbuka tulikua na mwalim wa hisabat tulikua tunamwita mwalimu njino kwa sababu ya meno yake kutoka nje nilikua simpendi yeye pamoja na somo lake labda kwa sababu sikua muumini mzuri wa hesabu
akaja akaita jina la yule msichana fulan bint fulan njo oficn akenda bwanaa bwanaa kumbe lile barua kasoma katoa bahasha hakuchana kaiweka kwenye daftar bac ilikua hataree sikua na wazo lolote wala hisia kama kuna noma daha yule mtt kala fimbo za maana wanamuuliza toka lini ameanza kujihusisha na mapenz kapigwa saana
bac bwanaa ofic mzima walimu wameshupaa nikaitwa mh machale yakanicheza lakin nikaenda tu hivyo hivyo bac bwanaa nikaonyeshwa ile barua nilihisi labda navuta hewa ya sumu kukataa ni ngumu kwa sababu na jina langu lipo pale ilikua ni aibu origional sio ya mchina nilikula fimbo ambazo siwezi kuzielezea kwa sababu walim kama walikua na bifu na mimi kilicho kua kinanibeba ni mpira tu ndio walikua wananipendea hapo tu ndio mana hata kufukuzwa shule ilikua ngumu nilipigwa sanaaana na kuishiwa kusomwa ile barua mstarini kisha nikapigwa viboko kumi tena mbele ya wanafunz
dah siwezi kusahau japo nilikua muumin mzur wa kuvaa nguo tatu ndani lakin ilikua balaaa sinta sahau wakuu kama unakisa chochote cha shule mkasa tukumbushane hapa