Siku ya wazee duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Naphtali Bernard Ng’ondi Kamishna Ustawi wa Jamii, Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto amesema mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kimkoa
watazungumzia ustawi wa wazee na kutoa huduma za wazee kuchunguza afya zao na kupata matibabu

Wizara ya Afya itashiriki maadhimisho hayo Kondoa, mkoani Dodoma

Maadhimisho yanatokana na azimio la umoja wa mataifa namba 45/106 la 1990 iliazimiwa nchi wanachama kuazimisha siku hii kuzungumzia masuala mbalimbali ya wazee ikiwemo usatawi haki na ulinzi wa wazee


Mafanikio ya kujivunia kwa mwaka huu


Afya.. utaratibu wa kuweka kipaumbele kwa wazee wakiwa kwenye sehemu za kupewa huduma

Kuongeza idadi ya wazee amba wametambuliwa na kupatiwa vitambulisho vya matibabu bure kwa wazee wasio na uwezo

2019, harakati za kutokomeza mauaji ya wazee, mauaji yamepungua.. 5 yrs ago mauaji yalikuwa takriban 500, mwaka jana mauaji 74

Huduma za makazi, makazi 13 ya wazee, kwanza kujenga makazi mapya na ukarabati katika baadhi ya makazi.
 
Back
Top Bottom