Siku ya wanyama...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,342
Reaction score
111,591
Leo ni siku ya wanyama duniani, hapa nchini Tanzania maadhimisho yake yalianza jana hapo Taifa kwa MNYAMA kushikwa sharubu...almanusura achinjwe!
 
Simba dume nyamaume,
porini kama mfalme,
anaogopeka anapopita
zaidi ya vita,kamanda wa afrika............
 
Kuleni nyama jamani si mnajua na sisi ni social animals? Basi kuleni nyama achaneni na 'MNYAMA'.
 
acheni kutesa wanyama, na tabia ya kugonga mbwa na paka barabarani sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…