Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Sawa sawaBasi ongeza bidii
Sawa sawaBasi ongeza bidii
Ahahah mkuu hii nimeiona nimecheka sana aisee....huyu jamaa aliyepo nyumba ya hii page aisee jamaa yupo vizuri.
noma sanaLeo Arusha wenzako wamekata viuno barabarani mchana kweupe, wote tulioshuhudia tukasema hewalaa, sherehe hii iongezewe siku ili walau iwe mara mbili kwa mwakaAfrican men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
Bro usituingize wote kwenye kapu,ni hasa hao mama zako ndiyo viherehere wakuwachagua wanaume unaowamaanisha hapa tena kwa kipande kimoja cha khanga.African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
OkLeo Arusha wenzako wamekata viuno barabarani mchana kweupe, wote tulioshuhudia tukasema hewalaa, sherehe hii iongezewe siku ili walau iwe mara mbili kwa mwaka
Hivi lile li Mtulia lililohamia fisiemu na lile lingine la siha ni wanawake wale?Bro usituingize wote kwenye kapu,ni hasa hao mama zako ndiyo viherehere wakuwachagua wanaume unaowamaanisha hapa tena kwa kipande kimoja cha khanga.