Siku ya wanawake Duniani?

Siku ya wanawake Duniani?

mnavira

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
22
Reaction score
13
Kufuatia sherehe ya Wanawake Leo 8.3. Nilijaribu kuhoji baadhi ya wanawake mambo yafuatayo:
Kama wanatambua kuna sikukuu leo?
Kauli Mbiu ya mwaka huu? Wanajivunia mafanikio gani katika Siku hii?
Wanasherehekea kwa lipi?
Sababu ya sherehe?
Nani anatakiwa kuwakomboa!

NASIKITIKA WENGI HAWAKUWA NA MAJIBU!!!! JE WADAU KWA MTAZAMO WENU SIKUKUU HII INA MCHANGO UPI KWA JAMII?
 
Kwangu naona haina haja ya kuwa na sikukuu ya wanawake wala ya wanaume.
 
IMG_20180308_202348.jpg
 
Hapana nipo chile huku ndio mana nimekuuliza
African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
 
African men hatujaweza kuendesha nchi tangu tupate uhuru miaka 60 iliyopita. Miaka yote sis ni watu wa kutembeza mabakuli kwa wanaume wa mabara mengine..
Wewe umechukua hatus gani kama mwanaume?
 
Si uhame bara la africa ukaishi bara lingine
Huwez kutatua tatizo kwa kulikimbia tatizo.

Mwanao akiwa mtukutu huwez kumbadilisha kwa kumkimbia.

nitakuwa nafanya kama wale jamaa wa back to afrika movement
 
Back
Top Bottom