W wakimataifa. JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 1,625 Reaction score 558 Dec 9, 2015 #1 maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli
maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,029 Reaction score 126,474 Dec 9, 2015 #2 wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... Samahani Mkuu Hilo " Taloli " Ni Aina Gani Ya Gari au Kifaa? Halafu Kinaonekana Kinauzwa Bei Ghali Mno au?
wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... Samahani Mkuu Hilo " Taloli " Ni Aina Gani Ya Gari au Kifaa? Halafu Kinaonekana Kinauzwa Bei Ghali Mno au?
S salomoe JF-Expert Member Joined Sep 5, 2012 Posts 757 Reaction score 380 Dec 9, 2015 #3 Tatizo Ni kuwa taka zilizozalishwa Ni nyingi kuliko vifaa vilivyopo hivyo Subira inatakiwa.
N nyakenda Member Joined Sep 5, 2015 Posts 71 Reaction score 60 Dec 9, 2015 #4 Hahahaaa, uandishi ni kazi jamani.
The Intelligent JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 2,459 Reaction score 824 Dec 9, 2015 #5 Bila shaka itakuwa ni maeneo ya karibu na hospital ya mirembe.
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Dec 9, 2015 #6 Acha Uongo,inamaana Toka Zimerundikwa Upo Tu Hapo Kusubiria Hatima Yake?Mbona Hazipo Sasa?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 9, 2015 #7 hebu weka picha ya jioni hii ikiambatana na muda uloipiga
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,825 Reaction score 3,092 Dec 9, 2015 #8 wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... ungebeba hata furush moja na kisha uje upost sio kupost tu huku wewe mwenyew hujqwajibika na lolote unataka serikali ilaumiwe
wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... ungebeba hata furush moja na kisha uje upost sio kupost tu huku wewe mwenyew hujqwajibika na lolote unataka serikali ilaumiwe
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Dec 9, 2015 #9 hapa sio mahala pake
Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 183 Dec 9, 2015 #10 wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... Wamuombe Jk atoe zile gari za washawasha 700 sijui zina kazi gani muda huu.
wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... Wamuombe Jk atoe zile gari za washawasha 700 sijui zina kazi gani muda huu.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,740 Reaction score 22,490 Dec 9, 2015 #12 GENTAMYCINE said: Samahani Mkuu Hilo " Taloli " Ni Aina Gani Ya Gari au Kifaa? Halafu Kinaonekana Kinauzwa Bei Ghali Mno au? Click to expand... acha umaku wewe..
GENTAMYCINE said: Samahani Mkuu Hilo " Taloli " Ni Aina Gani Ya Gari au Kifaa? Halafu Kinaonekana Kinauzwa Bei Ghali Mno au? Click to expand... acha umaku wewe..
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,029 Reaction score 126,474 Dec 9, 2015 #13 inamankusweke said: acha umaku wewe.. Click to expand... Ila Si Hata Mamiyo Anayo au?
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,184 Reaction score 2,597 Dec 9, 2015 #14 wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... gali=gari taloli=toroli
wakimataifa. said: maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli Click to expand... gali=gari taloli=toroli
U ukwega Senior Member Joined Apr 27, 2015 Posts 108 Reaction score 11 Dec 9, 2015 #15 Watu wans miezi 3 awajalipwa pesa zao