Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,053
- 41,526
Walisema NGO’s zilizokua zinafadhiliwa na mashirika ya Nje kama USAID zinasambaza ushoga.Siku hizi vyoo vya Bar na guest hukuti tena condoms zimewekwa...yaani kwa ufupi kila mtu apambane na hali yake, ingawa kuuza mechi kwa pisi ngeni ni risky
Hivi ushoga unasambwazajeWalisema NGO’s zilizokua zinafadhiliwa na mashirika ya Nje kama USAID zinasambaza ushoga.
Waulize watawalawa hasa Kigwangala akiwa naibu Waziri wa Afya.
Ugonjwa ambao ukiupata Leo unakufa after 20 to 30 years ni hatari? UKIMWI ni mradi wa mabilionea kutengeneza pesa kupitia condom na Arv. Kilichofanyika miaka ya 90 inawezekana ni demonstration. Na corona inawezekana ni plan B baada ya UKIMWI kufikia tamati.Ukimwi upo Na ni ugonjwa unao uwa
Ukimwi bado ni hatari sana kuliko hata corona, tuache ngino ,
Maambukizi yapo sana Kwa vijana kati ya umri wa miaka 18 -25 wavulana/wasichana
Ugonjwa ambao ukiupata Leo unakufa after 20 to 30 years ni hatari? UKIMWI ni mradi wa mabilionea kutengeneza pesa kupitia condom na Arv. Kilichofanyika miaka ya 90 inawezekana ni demonstration. Na corona inawezekana ni plan B baada ya UKIMWI kufikia tamati.
Ukimwi hautishi, wafanyabiashara wakubwa duniani inawezekana wamepandikiza hiyo hali ya kutisha, nafahamu watu wanaishi na hivi virusi kwa miaka mingi, hakuna tishio lolote. Ni tatizo la saikolojia zaidi kuliko uhalisia. Na Sababu kubwa ya kuogopwa kuliko corona ni umri wake na nguvu iliyotumika kutengeneza hofu ili kuuza condom na biashara ya Arv.Ukimwi bado ni ugonjwa unao tisha sana kuliko magonjwa mengine maaana mtu anaweza kukubali kupimwa korona bila woga kuliko ukimwi. Watu wengi bado ni wana uoga kupima ukimwi kutokqna Na ugonjwa wenyewe kutisha na kutisha.
Ukimwi hauna chanjo wala Kinga, tuache ngono
Sababu si kutisha kwa ugonjwa, sababu ni unavyopatikana. Hata wanawake wangeweza kuficha mimba wangeficha wengi. Binadamu esp huku Africa ni viumbe ambao matendo kama kunya, kujamba, kufanya ngono ni vitendo vya sirini sana. Ushahidi kuwa umefanya hayo kwetu ni aibu na hatutaki. Kuna jamii Africa watoto walikuzwa wakiaminishwa wanaume hawanyi, na wanaume walijificha sana wakifanya hilo tendo.Kama huamini kama ukimwi ni ugonjwa hatari sana na unao tisha duniani wewe angalia tu wanao jitangaza kuwa wanaishi na ukimwi ni wachache kuliko wanao jificha, angalia ugonjwa wa korona kila mtu anajisikia huru kujitangaza kuwa ana ukimwi ,
Ukimwi una ua tujikinge ni ugonjwa hatari sana