Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa pumzi ambayo hatulipii, as title states leo ni siku ya mwalimu duniani je tunamchukuliaje huyu mwalimu, doctor, engineer, pilots, predaa, nk hawa wote ni kazi ya mwalimu.
Thumbs to all teachers.
Nawapongeza walimu wote duniani kwa maadhimisho ya siku yao hii leo tarehe 05/10.
Hi wanabodi, kwanz namshukuru Mungu kwa kutupa pumzi ambayo hatulipii, as title states leo ni sku ya mwalimu duniani je tunamchukuliaje huyu mwl, doctor, engineer ,pilots, predaa, nk hawa wote ni kazi ya mwalimu, thumbs to all teachers.
Nawapenda Walimu wote.... Walionifundisha tokea Shule ya msingi hadi Sekondariiii.... Hasa wale wa Elimu ya Awali... Mungu awajalie.... Awazidishie... Penda sana Walimu Wangu.
Shikamoo mwalimu Mwambe zile bakora zimenifikisha mbali achana a e i o u hata ile miji-song yako matata bado naikumbuka back in late 80's Mungu akupe afya na maisha marefu.