Siku ya maigizo Zanzibar 20/3/2016

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,216
3,319
LEO NDIYO SIKU YA MAIGIZO YA ZANZIBAR

Ni siku pekee ambayo akili ya Mwafrika inakwenda kuchezewa huku akishangilia.

Ni siku ambayo mwanaume wa kiafrika ataacjishwa kazi zake na kuambiwa eti akapige kura, kura ambayo ilishapigwa zamani.

Ni siku ambayo Historia mpya ya udhalimu inakwenda kuandikwa.

Ni siku ambayo ule msemo wa Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi haitatolewa kwa makaratasi unakwenda kudhihiri.

Vijana wa karne ya 22 watakapokuja kutusoma kwenye historia watakuwa watakuwa wanatuona kama wendawazimu.

Mungu awapiganie Mashujaa wote wapinga dhulma, ukandamizaji na unyanyasaji popote duniani.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom