SIKU YA KWANZA.

Siku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
hamkukaguliwa kama mmeoga kweli?!! maana mnaweza chafua sakafu ya mjumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…