Siku ya kwanza kuoa

Siku ya kwanza kuoa

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Habari ndugu!!! tueleze siku yako ya kwanza kuoa ulikuwa unaogopa au ulikuwa upo sawa kama vile unaenda kununua nyama buchani.. mimi binafsi sikuwa na uoga wowote ulee yaani kama naenda kununua luku nyumbani umeme umeisha
 
ha ha kuna jamaa alikua chumba cha jirani yangu siku alivyooa usiku akapiga kelele watu tukaamka kumuuliza kulikoni akasema hamna kitu.
Basi kutokana na uswahiba tulionao asubuhi ikabidi nimuhoji vizuri daah akaniambia amezoea kulala mwenyewe hasa usiku alivyoamka kuona kuna mtu kitandani akashtuka akajikuta amepiga makelele!!
 
Ivi kumbe watu hua wanakua na wasi wasi eeeh ,
 
ha ha kuna jamaa alikua chumba cha jirani yangu siku alivyooa usiku akapiga kelele watu tukaamka kumuuliza kulikoni akasema hamna kitu.
Basi kutokana na uswahiba tulionao asubuhi ikabidi nimuhoji vizuri daah akaniambia amezoea kulala mwenyewe hasa usiku alivyoamka kuona kuna mtu kitandani akashtuka akajikuta amepiga makelele!!
Hii ni bab kubwa. Hahaha
 
Huyo alikuwa mwehuu kwani tangia azaliliwe huwa analala peke yakee
 
siku ya kwanza nilikonda... sababu niliwaza nikichapiwa nitaumiaje na nimeshaoa.. !!!!
 
mimi nilipiga safari mbili kutoa nishai nilruka magoma hadi watu wakashangaa wanao nifahamu vizuri
 
kuna makabila mengine babu harusi anapigwa bakora za kukaribishwa kwenye family
hahahahhahaha kuna kabila la wangoni kama ntakua sjakosea bibi harusi akishaolewa akipelekwa kwake anapiga got kuingia ndani ya nyumba akisindikizwa na wake wenza (wake za mashemeji zake) makabila mengine mabinam za bb harusi hawapishi maharusi wakapita mlangoni siku ya ndoa mpaka wapewe pesa

Usiogope ukipenda boga upende na ua lake
 
Back
Top Bottom