Hivi vitoto vilivyosoma kwa kodi zetu vinatusumbua sana humu JF!
Yani Balimi imetoka hujawahi kusex? Balimi imetoka ndo unaenda kuripoti Advance?
Mi nafikiri mods tuanze utaratibu wa kusajili watumiaji kwa vigezo vya cheti cha kuzaliwa/elimu, ili watoto hawa wawekewe limit ya accounts zao, wasiweze kupost thread au kuchangia sensitive threads, wapewe tu uhuru kwenye mada za kula tunda kimasihara na jukwaa la chit chat