Siku ya kwanza kuchepuka!

Doh, msinikumbushe, nlikuwa na dada namgegeda kabla sijaoa. Maana mchumba wangu alikuwa mkoa mwingine mbali na mm. Na pia tulikuwa tumeshapigana kibuti sababu alinicheat na mpwa wangu tukiwa wachumba bila yeye kujua, ama alijua ila kwa vile nlikuwa nimetangaza ndoa ikabidi amsaliti dogo. Basi nligundua tukiwa likizo na nikampa za uso, ila ikawa very too late alikuwa keshanasa wiki hiyohiyo maana nlivyotangaza ndoa nlianza kuambiwa hizo story zao. Basi bwana huyu dada alikuwa mwanafunzi wangu wa chuo nikawa nakula mdogo mdogo. Alivyojifungua mchumbangu nikiwa nanmiezi sita tu job kaja kunibwagia mtoto wa miezi sita, ikabidi ninyooshe maelezo ikabidi nijisalimishe kwao. Aliposikia huyu meingine daaaaaaaah kilinika mbaya. Nikawa nishatoa mahari, na mdada keshahamia kwangu. Akaapa nisipomgegeda ataharibu kila kitu maana alijitoa kwangu nimemgeuka. Basi nilikuwa napelekeshwa, kwanza anapiga simu muda anaojisikia, na siku anataka lazima nikampe. Siku ya kwanza nlirudi sikula sababu nlikuwa naumia moyoni balaa
 
Nitumie number basi dah. Usiwe mchoyo ndugu yangu
 
Vizuri kula na wenzakooo.
 
Kaa vizuri utulie ndipo uandike vizuri. Maana inaonekana umesimama kwenye mwendokasi ndio unaandika. Fika kwanza nyumbani utulie ndipo uandike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…