Oscar vitus
New Member
- Sep 29, 2015
- 1
- 0
Wadau tafadhari ningependa kusaidiwa juu ya siku ya kuripot chuo 1st year
Wadau tafadhari ningependa kusaidiwa juu ya siku ya kuripot chuo 1st year
Mjomba utaripot vp na bdo hujapta baraka za mjomba heslb....!!!piga kimnya kwanz mpka heslb afanye yake
mwecau tarehe 28 oct
He he he serkal haina hela jiandaen kwa mabomu tu wadogo zangu anyway mtanielewa mkifka chuo.