blessings
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 7,435
- 7,104
Wadau kama mjuavyo kila mwaka lazima kusherehekea Siku ya Kichaa cha Mbwa kitaifa, na pia Siku ya Kunywa Maziwa naomba mnikumbushe kwa mwaka huu itakuwa tarehe ngapi na maadhimisho ya kitaifa ni mkoa gani, mgeni rasmi atakuwa nani. Natanguliza shukrani.