SIKU YA IJUMAA

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
1,221
Reaction score
2,440
Bismillah Rahman Raheem

Unajua kwanini waislamu wameamlishwa kusali swalah tano (5) kwa siku..?

Ni kwa sababu ya kuwatofautisha na wayahudi (sabato) na watu wa kitabu (wakiristo).

JUMAA (IJUMAA)
Siku ya 6 katika juma (wiki) siku iliyobarikiwa,
IJUMAA ni siku bora kuliko siku zote,
• Ni siku ambayo nabii Adam (a.s) aliumbwa
• Ni siku ambayo nabii Adam aliingia peponi


Surat Al jumu'ah

Enyi mlioamini,ikiadhiniwa swala siku ya IJUMAA, bas nendeni haraka kumudhukuru Mungu . Na acheni biashara.
 
Ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…