connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Lengo ni nini?Kila ijumaa katika mwezi wa Ramadhan iwe siku ya Futari Kitaifa.
1. Kila Mkoa wachague Aina ya Futari wanayoipenda.
2. Kabla ya futari zitangulie dua
Lengo ni kuombea amanLengo ni nini?
KILA MTU AOMBEE AMANI KWA IMANI YAKELengo ni kuombea aman
Punguzeni UMALAYAKILA MTU AOMBEE AMANI KWA IMANI YAKE
MSITULETEE RATIBA ZA KIPUUZI HAPA..
HII SI JAMHURI YA KIISLAAM BALI NI JAMHURI YA MUUNGANANO WA TANZANIA.
KAMA UNATAKA HZO RATIBA NENDA IRANI, AFGHANS, PAKS NA IRAKI HUKO..
Sisi uswazi tumazoea kufuturishwa kwenye Tv(runinga), heri yenu wenzetu.Kila ijumaa katika mwezi wa Ramadhan iwe siku ya Futari Kitaifa.
1. Kila Mkoa wachague Aina ya Futari wanayoipenda.
2. Kabla ya futari zitangulie dua
DuhKila ijumaa katika mwezi wa Ramadhan iwe siku ya Futari Kitaifa.
1. Kila Mkoa wachague Aina ya Futari wanayoipenda.
2. Kabla ya futari zitangulie dua
KILA NIKITAKA KUANDIKA NAFUTA..Punguzeni UMALAYA
Mnooo lo