Nakushauri utoe ten percent, hilo ndilo fungu linalotakiwa kutolewa. Peleka pale ambao huwa unaenda kumwabudu Mungu wako. Nakuambia kama utatoa hiyo laki moja ujue kwamba kwa namna ulivyoipata hiyo milioni 10 ndivyo itakavyotoweka mikononi mwako. Sikutishi, huo ndio ukweli.