Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 852
- 2,976
Ilikuwa hivi, baada ya kupambana Dar, ili nipate nauli niende nyumbani Singida.
Nilifanikiwa kufika nyumbani ila mfukoni nikiwa nimebakiwa na 500 tu, basi jumapili nikaenda kanisani kusali baada ya ibaada kuisha kukawa na mchango wa ujenzi wa kanisa.
Ikawa kila mtu ana ahidi kiasi au kitu atakacho changia mm nikaahidi 2000 wakakataa, muda huo pesa ya sabuni naomba kwa mama kwani sikuwa na biashara yeyote,
Basi bana wakanibana wee mpaka stimu za sala zikanikata, nikakubali nitatoa 3000 nilipoondokaga sikugeuka nyuma
Hii kitu ya kulazimisha watu waahidi vitu vilivyo nje ya uwezo wao lipo mana baadhi ya Malamud.