Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,844
kama unakaa karibu na milima yenye volcano hai, ukihisi joto linaongezek bila mpango...anza kuhamisha makaziBado haujalipuka, angalia nembo ya mkono wa kushoto, japo kwa matendo ya sass ni kama vile umeishalipuka - angalia nembo ya kulia🙂
Ukilipuka..kama umeangalia vizuri yale maneno Uhuru na Umoja...yamefunikwa..usiombe twende hukoMkuu unataka kusema mwenge ndo unafanya watu waendelee kutumia rasilimali pamoja, kwamba usipokuwepo kwa maana ya kulipuka kila mtu atachukua chake??? kama nimekupata sahihi basi kumbe ni bora ulipuke maana angalau tutaambulia kitu kuliko saiv unawaka wajanja wachache wananufaika na familia zao.
Hiyo picha haikulenga mwenge wa uhuru, bali meno ya tembo aka pembe za ndovu. Niliwahi kukutana nayo kwenye banners za watu wa maliasili au mazingira vile. Inaonyesha hali ya tembo 1960, na hali ilivyo miaka hii ambapo kila mtu anajichukulia meno ya tembo
mi nimelenga mwenge.... si umeona yale majembe ya sisiem yamedondoka pia
poa mkuu...lakini unadhani kwa nini wajamaa wamekimbia na hayo meno kila mmoja upande wake.....Malenga hapa utakuwa umetupoteza, hii Ni nembo ya Taifa, nilidhani na kuamini thread yako na hiyo nembo umevileta kiutani ili tuchemshe vichwa kwamba iwapo huo mwenge ukilipuka kitatokea nini? Ila kwa wewe kusema "majembe ya ccm yameanguka" nadhani ilitakiwa kujua kila alama pale ina maana gani,kwa taarifa yako yale si majembe ya CCM ila Ni shoka na mkuki kama siyo shoka na jembe - nitasahihishwa. Kikubwa kwenye mchoro wa kulia unaweza pata tafsiri nyingi Sana ila si kama yako.
You have made my day. Nafunga computer. Have a nice evening Analogia malenga.
poa mkuu...lakini unadhani kwa nini wajamaa wamekimbia na hayo meno kila mmoja upande wake.....
ndio maana nimekuambia nembo ya mkono wa kulia ina maana nyingi sana zaidi ya moja
kwa vuguvugu lililoko nchini unatafsirije na hiyo picha... Muungano, katiba, ufisadi, ukosefu wa ajira,... majembe ndo mlisema kwamba inawakilisa kazi(madawa ya kulevya washkaji wanakamatwa china)... kuna water bodies(Lake nyasa/malawi) bendera naipeleka kwenye muungano, UHURU NA UMOJA...bado upo? kwa hali tulionayo kama wanaokula ni wachache, watu wakiandika kwa uhuru wakuongea wanafanya vibaya....