CRITICAL MIND
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 416
- 404
Msomi makini kutoka Afrika Mashariki ametangulia mbele ya haki.
Mungu amlaze pema peponi...Prof.Ali Mazrui.
Amiin.
huyu ni moja ya maprofesa uchwara maana alikuwa mfitini kwa muungano wetu.
Muungano upi?
Lete ushahidi tafadhali
Mazrui alishajibu hizi Tuhuma hapa:Mwaka 1994 aliandika makala ya kusisimua aliyoipa kichwa cha maneno, ‘Imperialism after the Empire: Lessons from Uganda and Tanzania', makala ambayo yalichapishwa katika gazeti la The Sunday Nation (Nairobi), May 22, 1994. Katika makala hayo, Prof. Mazrui aliandika yafuatayo:
"What we are witnessing in Tanzania is a series of remarkable events which can be interpreted as a struggle for the sub-decolonisation of Zanzibar after its annexation by Tanganyika."
Na pia akaandika:
"In this Union, Tanganyika did not lose anything. It retained its Coat of Arms, its national anthem, its seat at the United Nations and its own President. What changed was simply a name - Tanganyika to Tanzania."
mkuu Mohammed said sina maana kwamba unatudanganya kuwa wewe ni muandishi wa kitabu cha sal Davis lakini wiki hii kupitia television ya KTN kipindi cha jeff kainange live sal Davis alisema HAJAANDIKA KITABU WALA HALIKUWA WAJAWAI KUWAZA KUANDIKA KITABU LAKINI ALIPOKIONA KITABU CHA JEFF NA YEYE ATAANDIKA....
BTW to be honest sijawai kukutana na story teller mzuri kama sal Davis
Mwaka 1994 aliandika makala ya kusisimua aliyoipa kichwa cha maneno, Imperialism after the Empire: Lessons from Uganda and Tanzania', makala ambayo yalichapishwa katika gazeti la The Sunday Nation (Nairobi), May 22, 1994. Katika makala hayo, Prof. Mazrui aliandika yafuatayo:
"What we are witnessing in Tanzania is a series of remarkable events which can be interpreted as a struggle for the sub-decolonisation of Zanzibar after its annexation by Tanganyika."
Na pia akaandika:
"In this Union, Tanganyika did not lose anything. It retained its Coat of Arms, its national anthem, its seat at the United Nations and its own President. What changed was simply a name - Tanganyika to Tanzania."
Hii bahari kubwa kina kirefu wewe nenda kwenye habari zenu za Dr.Slaa na Mbowe.Huyu alikuwa profesa wa kitu gani na kavumbua kitu gani hapa duniani?
Bora ungekaa kimya ungeficha upumbavu wako angalia sasa unavyoonekana kituko, muungano upi huo?huyu ni moja ya maprofesa uchwara maana alikuwa mfitini kwa muungano wetu.