OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,980
- 114,298
Lowassa kapewa moyo wa uvumilivu kupita kiwango cha kawaida. Katukanwa, kadhalilishwa, kaibiwa. Busara zake zinaendelea kuifanya Tanzania kuwa na utulivu. Lakini mtu huyu anajua mangapi yaliyofanywa na ngazi za juu, hujuma na fitna ngapi anazijua mtumishi huyu wa Mungu.
Nawaambieni, siku Lowassa akiamua kukiuka kiapo ha uwaziri mkuu, enzi mafisadi halisi mtajuta, mtaficha wapi sura zenu enyi CCM.
Nawaambieni, siku Lowassa akiamua kukiuka kiapo ha uwaziri mkuu, enzi mafisadi halisi mtajuta, mtaficha wapi sura zenu enyi CCM.