Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

Eti siku mbili tu mimba imeingia, wewe ulitaka ziwe siku 202?
Ndio ujipange umeshakuwa baba tayari
 
Famasit mimba inashika kwa siku ngangi maana itakuwa ni new sizain tujuzee nasi?
 
pharmacist gan unayeshangaa siku 2 mimba
ama kweri wasomi wetu wa siku hizi bure kabisa
ilitakiwa wewe ndo utoe dalasa lkn wewe ndo washangaa
duh ! labda huo upharmacist wako wa kwa Dr. mwaka yaan wa hapa na pale
 
kumbe ulidhani mimba inaingia miezi 9? kama inavyokuwa? na hiyo pasaka ni ya mwaka jana au ??. mana tangu pasaka iishe ni week sasa inakuwaje amegundua siku zake zimepita???? au sijaelewa story wenzangu?
 
Hizi elimu za bongo majanga matupu. Unaweza toa hata machozi.

Mtu anajiita mfamasia na hajui mimba inatungwaje? Ooh. Nooo!! It can' t be broda!!

Hiyo elimu uliipatia wapi?
 
Nafikiri ni pasaka ya mwaka jana..

Wanaume wa Dar majanga matupu. Hata wanaojiita wasomi wamekaa kitoto tu...
 
Hongera kwa muweza kumpa mtu mimba Kaka Rich
 
Kuunganisha uzi nayo kazi mkuu.. hujui mimba inaingiaje at the same time wewe ni phamasia.. ngumu kumeza.. andika orodha ya mahitaji shule karibu zinafunguliwa umpelekee mzazi wako. Huku Jf hakukufai.
 
Nilichokiandika nimekifuta maana ningefungiwa jamii forum ever
 
Nakushauri ndugu kwa uchungu mkubwa sana. Hakuna kitu kibaya kama mtoto kutokumfahamu baba yake maisha yake yote na wewe upo hai. Afadhali ajue hata umekufa kabisa haitakuwa tatizo. Utaweka kidonda kikubwa sana kwa mama yake kama utamfanyia hivyo.

Jaribu kutafuta hata sehemu anayoishi ufahamu kwake hata ndugu mmoja for the sake of your child only. Inauma sana maana me ni mhanga wa haya mambo na nisingipenda mtoto mwingine yyote apitie hali niliyopitia.

Utamsababishia binti wa wa watu madhara makubwa sana. Jaribu kurudisha mawasiliano naye na mwambie umeoa ila utamtunza mtoto wako kama kweli mimba ni yako
 
Kichwa cha habari umeandika unakimbizwa wakati ulipodondoka kwenye kiti ofisini
 
Hizi elimu za bongo majanga matupu. Unaweza toa hata machozi.

Mtu anajiita mfamasia na hajui mimba inatungwaje? Ooh. Nooo!! It can' t be broda!!

Hiyo elimu uliipatia wapi?
Itakuwa kwenye moja ya vicollege vya uchochoroni manzese pale
 
kumbe ulidhani mimba inaingia miezi 9? kama inavyokuwa? na hiyo pasaka ni ya mwaka jana au ??. mana tangu pasaka iishe ni week sasa inakuwaje amegundua siku zake zimepita???? au sijaelewa story wenzangu?
changamsha akili hiyo, utaelewa tu kama nafanyiwa usanii mama. rudia kusoma, na ni juzi tu hapo.
 
Wakati unatumbukiza.mfagio wako huko kwa k ya binti mbona hukuja kulia kwa raha uliokuwa unapata? umempa mimba unakujalilia hapa km madume ya mbwa yale yaliyomkisa jike ,siku zake za joto?wewe mpharmacia gani ,unatutia aibu kwenye fan
 
Tahadhari ulipewa yupo kwenye siku mbaya sasa amenasa mimba unalialia.
 
Wakati unatumbukiza.mfagio wako huko kwa k ya binti mbona hukuja kulia kwa raha uliokuwa unapata? umempa mimba unakujalilia hapa km madume ya mbwa yale yaliyomkisa jike ,siku zake za joto?wewe mpharmacia gani ,unatutia aibu kwenye fan
irudie kusoma vzur utanielewa, na kesho na kuja kukufungia DLDM lako
 
irudie kusoma vzur utanielewa, na kesho na kuja kukufungia DLDM lako
Narudia wakati unafurahia hiyo raha,huku focus km una mchumba.wako,hukuwaza km binti alikuwa na nani ni mzima kiafya,ukazama bila hata kinga?mpharmacia gani wewe nyumbu?usijua kufocus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…