We bado unazo?Karibu mtwara mkuu vp upo maeneo gani nikuletee korosho kidogo utafune
Ni kweli hayo au maneno ya mitandaoni tu mi mbona nimeenda sana Moz kupiga mitkas yangu na sijakutana na kitu kama hicho?Watu wanauza korosho. Hata wa Msumbiji wanafusta bei za Magufuli Mtwara.
Halafu wabongo washauawa na kuibiwa sana Msumbiji.
Mkuu siku hizi kuna dalaja LA umoja watu hawapitii tena msimba wanavukia moeda moja kwa moja kupitia darajani, mambo ya viboti kama umekalia maji walishaachaNimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.
Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?
Nimepamiss sana Mueda nisingekuwa na mitkas yangu mingine ningeenda kuchungulia kidogo. Ila tuache utani Moz patamu sanaMkuu siku hizi kuna dalaja LA umoja watu hawapitii tena msimba wanavukia moeda moja kwa moja kupitia darajani, mambo ya viboti kama umekalia maji walishaacha
Mambo vipi nije pm nina maongoziWatu wanauza korosho. Hata wa Msumbiji wanafusta bei za Magufuli Mtwara.
Halafu wabongo washauawa na kuibiwa sana Msumbiji.
Wewe si unaenda ushuani Maputo, au?Ni kweli hayo au maneno ya mitandaoni tu mi mbona nimeenda sana Moz kupiga mitkas yangu na sijakutana na kitu kama hicho?
We bado unazo?
Karibu.Mambo vipi nije pm nina maongozi
Propaganda ausioo..Bhasi endelea kuwatafutaa! bogus...Hizo propaganda tu mkuu hakuna kitu kama hicho
Naenda kaskazini mzee siendi Maputo though I wish kufungua biashara MaputoWewe si unaenda ushuani Maputo, au?
Huku kaskazini watu wanapigika utafikiri enzi za RENAMO bado.
Watu wengi sana wamelalamika kupukutishwa.
Of course inawezekana una deal kwenye oockets ambazo ziko poa pia.
Sawa. Labda pamebadilika.Naenda kaskazini mzee siendi Maputo though I wish kufungua biashara Maputo