Jocasta JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 475 Reaction score 603 Dec 22, 2018 #1 Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34
Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34
charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,988 Reaction score 4,413 Dec 22, 2018 #2 Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ).
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,493 Reaction score 21,453 Dec 22, 2018 #3 Jocasta said: Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34 Click to expand... Kwa mzunguko wa siku 34 hua wanaovulate siku ya 20.... kwa hiyo tarehe 23 inaweza kua ndio siku yenyewe lakin aanze leo mpk tarehe 26. NB: Download app inaitwa Flo itasaidia zaidi.
Jocasta said: Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34 Click to expand... Kwa mzunguko wa siku 34 hua wanaovulate siku ya 20.... kwa hiyo tarehe 23 inaweza kua ndio siku yenyewe lakin aanze leo mpk tarehe 26. NB: Download app inaitwa Flo itasaidia zaidi.
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,493 Reaction score 21,453 Dec 22, 2018 #4 charrote said: Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ). Click to expand... Kua serious kwenye mambo ya maana.
charrote said: Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ). Click to expand... Kua serious kwenye mambo ya maana.
Jocasta JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 475 Reaction score 603 Dec 22, 2018 Thread starter #5 charrote said: Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ). Click to expand... kumbe mzunguko mrefu ndo huitwa hivi?
charrote said: Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ). Click to expand... kumbe mzunguko mrefu ndo huitwa hivi?
Jocasta JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 475 Reaction score 603 Dec 22, 2018 Thread starter #6 culture gal said: Kwa mzunguko wa siku 34 hua wanaovulate siku ya 20.... kwa hiyo tarehe 23 inaweza kua ndio siku yenyewe lakin aanze leo mpk tarehe 26.Ahsante sana mkuu NB: Download app inaitwa Flo itasaidia zaidi. Click to expand...
culture gal said: Kwa mzunguko wa siku 34 hua wanaovulate siku ya 20.... kwa hiyo tarehe 23 inaweza kua ndio siku yenyewe lakin aanze leo mpk tarehe 26.Ahsante sana mkuu NB: Download app inaitwa Flo itasaidia zaidi. Click to expand...
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Dec 22, 2018 #7 Siku ya kupata ujauzito ni siku ambayo atajamiiana akiwa kwenye heat.