Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Watasema alikuwa kaenda kumtembelea mchumba wake...Igwe wanaJF
Itakuwaje siku Ben Saanane akipatikana mithili ya Nondo? Kadri wanavyopayikana wadau wa "am at high risk" kunatoa matumaini kuwa wengine ipo siku wataibuka.
Nini kitatokea Ben Saanane akiibuka mithili ya Nondo?
Kama walifahamu kuwa Nondo alijiteka kwa kufuatilia mawasiliano yake na “mpenzi wake wa Iringa”, mbona wameshindwa kusema kuhusu mawasiliano ya Ben? Acheni sarakasi zenu!Igwe wanaJF
Itakuwaje siku Ben Saanane akipatikana mithili ya Nondo? Kadri wanavyopayikana wadau wa "am at high risk" kunatoa matumaini kuwa wengine ipo siku wataibuka.
Nini kitatokea Ben Saanane akiibuka mithili ya Nondo?
Hahahha huo unaitwa "uchunguzi wa kisayansi"Kama walifahamu kuwa Nondo alijiteka kwa kufuatilia mawasiliano yake na “mpenzi wake wa Iringa”, mbona wameshindwa kusema kuhusu mawasiliano ya Ben? Acheni sarakasi zenu!
Polisi watasema uchunguzi unaonekana alijitekaIgwe wanaJF
Itakuwaje siku Ben Saanane akipatikana mithili ya Nondo? Kadri wanavyopayikana wadau wa "am at high risk" kunatoa matumaini kuwa wengine ipo siku wataibuka.
Nini kitatokea Ben Saanane akiibuka mithili ya Nondo?
Kuna Siku nilipokuwa mdogo niliwahi kuficha kiatu cha Mwenzangu wakati nacheza Mpira ili tu kumzingua nione atakavyo chachawa
Mkubwa wetu wa Kimtaa Mtaa alikuja juu sana na akaanza Msako wa kusaka Kiatu kile na akasema atakaekutwa na kiatu kile atapewa Mkongo'oto wa Haja!
Ilibidi nipotezee nikaenda kukitupa kabisa kwa kuwa igizo langu lingenitokea Puani!
Nadhan umenielewa Mkubwa
na Azori...
watakua walikwenda kunyonya kwa bibi zao..
Lissu naye alijipiga risasi..
na Katibu wa CHADEMA Kata Kinondoni alijipiga mapanga..