Siku BBC walipofanya kama TBC

TBC, na Star TV ni kawaida yao,

Masao Bwire kwao kumuita Infantino siyo shida,Theleza May kusomeka Trump wala hawashtuki labda wanacheleweshea sana mishahara watumishi....!
 
BBC Kwakumheshimu wanatuzo inayotumia jina lake.
 
Na huyo jamaa akiwa anasoma habari, ghafla camera ikakatiza mbele yake na kuonekana kabisa kwa watazamaji. Ikabidi acheke tu.
Inawezekana aliyekuwa anacontrol camera alishapangiwa kazi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…