nimekugongea "like ", si Umeona!?? wewe ni mmoja kati ya wale wachache waliobaki kuielewesha kundi kubwa linalopishana na ukweliKwa mtu yoyote anayedhania Magufuli atashindwa 2020 atakuwa hajui siasa za Tanzania na historia haijamfunza!
Baada ya uchaguzi wimbo wa wapinzani utakuwa ni ule ule; tumeibiwa kura na tume huru ya uchaguzi sio huru .Na copy and paste yaliyotokea Kenya.
Kwa mtu yotote anayewalipa hawa watukanaji hapa na instagram kama njia. Inatutia machungu hata kulala vituoni siku mbili 2020 kumpigia kura Magufuli.
Lakini una moyo wa kuwajibu hawa watu wa instagram!
Ngabu wa mipasho, hana tofauti na Mashauzi ClassicMwanaume kukaa na likaboka lako unasubiria kimwanaume kingine kijibu mapigo ni upumbavu mkubwa sana.
USA babe!!!Uliwahi kuniona huko nje ya nchi?
Matibabu yake tu tia Maji tia Maji mpaka kapu lipite..subiri kuchangia na mazishi labda azikwe na acacia na wale mainjinia aliowashauri wakamate ndege canada..maana serikali ya magu haina muda wa kuzika wasaliti..Angalau yeye atazikwa kwa heshima!
Kwa mujibu wa EATV katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita idadi ya wagonjwa wa akili hapa nchini imeongezeka kutoka watu laki sita hadi laki saba. Bila shaka wewe ni miongoni mwao. Serikali ndio inapaswa kumtibu mheshimiwa Lissu. Na kwa akili zako za kimakinikia umekubali kumezeshwa cd ya kwamba Lissu ni msaliti. Ni mjinga peke yake ambaye katika hili la ACACIA atamwona Lissu kuwa ni msaliti. Serikali inapovuruga mfumo wa elimu hufanya hivyo ili mpatikane watu kama wewe!Matibabu yake tu tia Maji tia Maji mpaka kapu lipite..subiri kuchangia na mazishi labda azikwe na acacia na wale mainjinia aliowashauri wakamate ndege canada..maana serikali ya magu haina muda wa kuzika wasaliti..
[emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]USA babe!!!
Naongeza.punguza ukali wa maandishi mkuu!
Yuko nje ya nchi wapi mwehu tuu huyo mbangaizaji lipo hapo hapo bongo Temeke mikoroshiniHivi we si uko nje ya nchi?? Nakushauri baki tu huko huko,maana naona ni tia maji tia mjai tu.
Lissu kawaharibu na vingereza..sasa wana apply tu hata pasipohusika.Anaogopa impeachment? Unajua maana ya hilo neno wewe?
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Unajua utaratibu wa impeachment au mnadanganyana ufipa.Watu washamzoea Rais anaogopa kukwea pipa akihofia impeachment hovyoo kabisa . Rais wa ajabu kuwahi kutokea . Damn
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Wala sikugawi bure[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yuko nje ya nchi wapi mwehu tuu huyo mbangaizaji lipo hapo hapo bongo Temeke mikoroshini