Siku 21 za Kinana kwa Msigwa Bado?

Siku 21 za Kinana kwa Msigwa Bado?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Huenda Katibu Mkuu kajisahau, si vibaya kukumbushia suala ambalo pia linagusa maslahi ya Taifa
 
Huyo ni wajuzi tu, tumuulize kwanza Prince Riziwani Kikwete ameghairi kumpandisha Dr Slaa Mahakamani?
 
Hivi yale Maandamano aliyotueleza Mr Zero kwa kuweka siku kadhaa kuhusu Rasimu ya Katiba mpya,na yale ya kumtaka Waziri wa Elimu ajiuzuru yameishia wapi vile
 
I hate politics kabisa! Si unaona siku za nyuma watu walitishiana kupelekana mahakamani na kulipishana bilioni za pesa, alafu kimya!
 
Hatathubutu hata kidogo, hebu ajaribu uone ccm inavijikwaa kisiki...aende mahakamani wakati anajua anakwenda kupeleke jinai yake mahakamani?...
 
Kutamka neno mahakama ni rahisi sana, lakini mtu akifikiria kwenda kukutana na Tundu Lisu uso kwa uso, anaanza kupiga chafya kabla ya kupiga miayo asubuhi. Na akifikria tembo aliokwisha gema, anajifunika shuka
 
Azimio la kususia Rasimu ya katiba mpya limefikia wapi?, maandamano ya kumtoa Wazir wa Elimu yameishia wapi?, Azimio la kutokumtambua jakaya limefikia wapi?
 
I hate politics kabisa! Si unaona siku za nyuma watu walitishiana kupelekana mahakamani na kulipishana bilioni za pesa, alafu kimya!
Naipend ile ya Mengi aliyolipishwa shilingi moja na yule mhindi hivi alilipa!
 
Huyo ni wajuzi tu, tumuulize kwanza Prince Riziwani Kikwete ameghairi kumpandisha Dr Slaa Mahakamani?

aisee, hili nalo janga, si nasikia alifuatwa na wazee?
 
I hate politics kabisa! Si unaona siku za nyuma watu walitishiana kupelekana mahakamani na kulipishana bilioni za pesa, alafu kimya!

ni kweli iweeeee
 
Kutamka neno mahakama ni rahisi sana, lakini mtu akifikiria kwenda kukutana na Tundu Lisu uso kwa uso, anaanza kupiga chafya kabla ya kupiga miayo asubuhi. Na akifikria tembo aliokwisha gema, anajifunika shuka

na sisi watz je tunajifunika nn?
 
Azimio la kususia Rasimu ya katiba mpya limefikia wapi?, maandamano ya kumtoa Wazir wa Elimu yameishia wapi?, Azimio la kutokumtambua jakaya limefikia wapi?
mh....jino kwa jino hapa,,siasa bhana
 
Back
Top Bottom