Siku 100 za Serikali ya CHADEMA madarakani

SGR haitajengwa? Stigla joji? Umeme wa REA? Hii mbona umekaa kipigaji?
 
Haya ulitakiwa kuandika baada ya uchaguzi kuisha na matokeo kutangazwa, vinginevyo ni kujisumbua tu. Lissu hawezi kushinda uchaguzi.
 
Haui, hateki, hajeruhi kwa risasi, hana visasi, siyo mkabila, siyo mkanda, siyo chizi wa kuropoka na huwezi kabisa kumfananisha na Lisu
Tundu Lisu Haui, hateki, hajeruhi kwa risasi, hana visasi, siyo mkabila , siyo mkanda, siyo chizi wa kuropoka na huwezi kabisa kumfananisha na Jiwe
 
Duh ndoto ya mchana
 
Ndoto ya mchana na ahadi hewa...

Chadema ikiingia madarakani...yatayofuata ni sawa na Raia wa Libya
 
Huduma za afya ya msingi BILA MALIPO, endeleeni kuota zile za mchana kabisa! Huwa ni tamu sana...
 
Shule ya sekondari Mapupalasa ikitoa Sera zake baada ya kupata Ukaka mkuu
 
Too late ! mliposhindwa kumuua lissu ndipo kila kitu kilipogeuka
TL kuuwawa ulikuwa mpango wenu, yupo wapi Chacha Wangwe? Yupo wapi Ben Saanane? The list goes on lakini ooops mnamwita mwamba wenu mlevi wa Konyagi ndio mfalme wenu. Imekula kwenu!

​
 
Mawazo mazuri sana kutoka kwa wana CHADEMA.

Kwa haraka haraka ni vitu ambavyo vina tekelezeka ila afya (iv) ni changamoto kubwa sana. Serikali inatoa huduma za afya bure kwa watoto walio chini ya miaka mitano na watu wazima walio zidi miaka sitini ila huduma hizo hazi wezi ku linganishwa na zinazo tolewa na bima ya afya. Huduma za afya bure kwa kila mtanzania ni kitu ambacho haki wezekani.
 
Kwanza mtuambie,kuna baraza la mawaziri la serikali ya Chadema ikiongozwa na Rais E.Lowasa,makamu wake J.Duni Haji iliundwa 2015,wale mawaziri na Rais wao atujasikia habari zao wako wapi?
 
Ukiona unaota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…