ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,808
- 5,928
Hivi kaimba au kataja taja tu mademu zake ?Hivi wataalamu nimekuwa nikijiuliza kati ya hizi ngoma alizoziachiga diamond platnumz siku 1, yaani Niache na Sikomi, ipi ni ngoma kali kati ya hizi?
Maana dah c mchezo hizi ngoma japo mimi naona kama niache ndo kali sana.
Toa mawazo yako.
Pia lini ali kiba atatoa wimbo maana toka seduce me imetoka dmond mwenzie kashaachia ngoma kama 7 hivi. Kwanini basata wasimpige faini kwa kuchelewa kutoa wimbo huku mashbiki tunasubiri kwa hamu
naww waimbe uliowagonga upate pesa kama domoHivi kaimba au kataja taja tu mademu zake ?
SIKU HIZI MUZIKI NI KUTAJA TAJA TU MADEMU ZAKO ULIOGONGAAA !
Na wewe tafuta beats kisha taja majina ya mademu zako uliowagonga(kama umewahi kufanya hivyo) kisha toa album..!Hivi kaimba au kataja taja tu mademu zake ?
SIKU HIZI MUZIKI NI KUTAJA TAJA TU MADEMU ZAKO ULIOGONGAAA !