Sikomi lyrice

yesse lambert

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
30
Reaction score
4
Yese

Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho (oooh mwisho)

Mmmh, ya nini kulumbana kukicha bila suluhisho ( ooh oooh)

Huenda kisichoridhiki hakiliki, ;sa ya nini tutoane roho?

Nimepungukiwa kipi? Mbona naishi? Sina tajiba la roho (ooooh)

Na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe niliuvumilia

Na sija ona tamaa,(aaah) sio kama siwezi kupata aliye zaidi ya wewe, ila hii dunia na najichunga sana tena naandika huu wimbo ;sijipe moyo labda nakufikiria.nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifuatilia naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunii… eeeeh! Nishachoka,nishacho… nishachoka, wacha ukweli nikwambieeeh kukicha vijembe (nishachoka )dharau maneno (nishachoka) ooooh masimango nishachoka wacha ukweli nikwambie nimechoka now! Ooh ooh aaih kila ndonda lina historia; madhara ya moto majivu Mangapi niliya vumilia, hadi nikakonda kwa wivu? Kindonda cha jasho langu, ulikidharau na kukinyanyasa utu;dhamani yangu ukasahau,kisa anasa (aah aaaah) afadhali mimi nisha kuzoea dharau, mama yangu haja kukosea huwaga navuta taswira,ule utumwa wa penzi lako mpaka najiona tahila, kuyaifadhi mabaya yako muchi jinga pedi,na matila pa nikapendwa upepo kwenye begi au maji ndani ya tenga tena naandika huu wimbo ;sijipe moyo labda nakufikiria.nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifuatilia naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunii… eeeeh!hieey hey,hieey hey nimechoka nawe(nishachoka)siwez,ooooh siwezi(nishachoka,wacha ukwelinikwambie)acha nikweleze ikicha vijembe, nishachoka

(nikweleze… )dharau, maneno,nishachoka

(nikweleze… )oooh masimango nishachoka

( nikweleze…)wacha ukweli nikwambie (nimechoka now!!) oooooh! Oooh!ooooh!

Oooh!oooh!ooh!nimechoka nawe kokoro

Records thanks for watching

Please share, like,comment, & subscribe.
 

Attachments

  • 21687651_171746756714268_643778434189621618_n.jpg
    86.6 KB · Views: 66
mademi vishawishi

Waskaji vishawishi

Shaawishi

Nimejikwaa sijaanguka niokote
Mama

Ningefanyajee eehhhee??
Vishawishi vilinizonga mimii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…