Siko tayari kushuhudia kifo cha CHADEMA

Siko tayari kushuhudia kifo cha CHADEMA

Maswa 1

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
673
Reaction score
999
Amani ya bwana iwe nanyi.

Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .

Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.

Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!

Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?

Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?

Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!

Kwa nini hali hii inatokea??

Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?
 
Kumbuka ccm asilimia 90% ni wala rushwa na watoa rushwa na ni mafisadi wa kutpwa kwa mfano enzi ya Mzee mwinyi kuna kilo 5 za dhahabu alizikamata mrema air port alionywa kuwa ni za wa kubwa akaachia enzi za mkapa kumekuwa na tetesi za kujengwa nyumba Afrika kusini ya mhsh. Fulani watu walipozidi kuchonga had I Leo hakuna anayehoji na awamu iliyopita ndo Yale yale had I anayetawala Leo ameshindwa kuwaamini ccm ameona upinzani wapi watu safi kwa hiyo wanaotoka ccm ni sawa na MTU aliyeokoka Leo lowasa sumaye na nyarandu wameokoka hawatafanya ufisadi wako sehemu safi nawapa pole wanaojipeleka ccm kwa kumuunga mkono rais hao ni saws na Kondom watatumika enzi ya Magufuli simu akitoka madarakani jalala watakalotupwa hawataamini.
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .

Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.

Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!

Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?

Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?

Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!

Kwa nini hali hii inatokea??

Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?
Umeandika kwa msaada wa mihemko, hebu jipange upya uje tena.
 
Mimi si mwanasiasa ila nasimama katika ukweli tu, na kwa kuwa wewe umesema ni mafisadi ni vema ukafungue kesi wawajibishwe maana kwa mujibu wa maandiko ni dhambi kumshuhudia mtu uongo na kama ni ukweli kwa nini hawashtakiwi ili tuondokane na maneno haya?

Jiulize
Lowasa ndani ya ccm alikuwa safi ila alipotoka kuja CHADEMA wanaccm wanamwita ni FISADI sasa kimantiki tunapaswa kuwaona CCM kwa mtazamo upi kama wao ndiyo wamelewa ridhaa ya kuongoza taifa hili kwa sasa lakini wanashindwa kutatua tatizo hili badala yake nao wanalalama ovyo?

Tunataka siasa makini, hizi za kurushiana maneno ya ovyo +yasiyo na ukweli hazina faida kwa watanzania. Kama wewe ni mwanasiasa soma andiko hili litakusaidia kujitafakari

20 Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Isaya 5 :20
 
ndivyo siasa ilivyo sina chama na sitajiunga popote ila naifuatilia sana na movie yake ni tamu hasa
 
[quote uid=464530 name="Maswa 1" post=24916864]Kwa hiyo mliwasingizia kuwaweka kwenye list of shame?[/QUOTE]<br />Kwenye list of shame wamo Kikwete, Mkono, Chenge nk ambao bado ni wana CCM, je, wanaokwenda ccm hawawaoni hao?

Naam mpe ukweli aelewe
 
Amani ya bwana iwe nanyi.

Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .

Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.

Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!

Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?

Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?

Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!

Kwa nini hali hii inatokea??

Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?

Masha kisha kuwa msafi ghafla?
 
IMG-20171218-WA0013.jpg
Palipata wakaaaji??
 
Mkuu Maswa1;

Unajua Maswa ilivyo na hali mbaya ya upatikanaji wa Maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu? jaribu kujikita kuleta maendeleo huko siyo kwenda mnada wa mbuzi tu.

Maisha magumu huko vijijini Itilima lakini badala ya kuuliza kwanini Pesa inatumika kuwapa wanasiasa badala ya kuchimba visima vya Maji.
 
Kama mbowe alivyomnunua Nyalandu
wakati Chadema haina hata ofisi
 
Back
Top Bottom