Kila mtu na jinsi na jinsi anavyopokea upendo katika moyo wake, na ndio maana kuna mtu akiachwa anajiua na kuna mwingine anacheka tu na maisha yanaendelea..
Namna unavyoweza kujisikia wewe kuhusu uwezo wako wa ku_hundle hisia zako kali za mapenzi ni tofauti sana na wengine.
Usi_judge watu kutokana na vipimo ulivyonavyo wewe kwani watu hatufanani.
"Sikitiko la MAHABA zaidi ya MSIBA,
Sikitiko la MOYO zaidi ya MWIBA".
NB:FURAHA huja baada ya MAUMIVU lakini MAUMIVU hutengeneza UTULIVU japo UTULIVU huunda CHUKI.