Mama anampa kichapo mwanae kwa kutofautiana lugha kisha anamsikitikia ilikuwa hivi:
Mama - Mwanangu hebu kaniletee kijiko cha chai kabatini.
Mtoto - Sawa Mama.
(baada ya muda...)
Mama - Hicho kijiko kiko wapi?
Mtoto - Sikioni
Mama - (huku akianzisha kichapo kikali) Mtoto una laana wewe kisa masikio makubwa ndio uingize kijiko unanipa shida sana kwa utundu wako. ungekuwa wewe ndio umekula kichapo?