Kingubwe
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 238
- 207
Kama ambavyo kichwa kinajieleza hapo ju.
kijana wangu leo anasiku ya saba tangu sikio lake la upande wa kushoto lizibe yani anashindwa hata kutembea.
chanzo,ilikua usiku wa kuamkia jumapili tar 30 disemba 2018 majira ya saa nane usiku alihisi sikio linatuma kwa ndani,baada ya kuamka usingizini akakunja kitambaa akaingiza sikioni baada ya kutoa mpaka leo sikio limeziba.
tumejaribu kumuweka maji ya uvuguvugu lakini hayaingii,dawa ya sikio pia leo ni siku ya nne anatumia lakini bado halijavubuka sasa atujui tatizo nini.
msaada wenu tafadhari...